....

....

MJUE MSICHANA ANAYELIA MACHOZI YA CHEMBE ZA MAWE

No Comments

Ni msichana mmoja kutoka Yemen aliyewashangaza madaktari, msichana huyo analia matone ya mawe badala ya machozi. Jina lake ni Saadiya Saleh miaka 12.


Wanakijiji wenzake wanasema kuwa anatumiwa na mashetani. Ila daktari alishindwa kutoa maelezo ya kujitosheleza kwani alisema Saadiy anaumwa ugonjwa ambao bado hautambuliki.



back to top