....

....

MWANAMKE MWENYE (NYONGA) HIPS KUBWA KULIKO WOTE

No Comments
Huyu mama anatokea Los Angels , Calfornia anaitwa Mikel Ruffinelli umri wake miaka 40. Mikel amevunja rekodi ya dunia kwa kuwa na nyonga (hips) zenye upana wa futi 8. MIkel anasema umbo lake limetokana na kurithi na sio chakula.
mwanamke mwenye matako makubwa
Unaweza kufikiri huyu mwana mama ana labda atakuwa bonge la mtu la hasha ana urefu wa futi 5 na inchi 4.
"Napenda jinsi nilivyo, nazipenda nyonga zangu, napenda muonekano wangu..... napenda jinsi nilivyo  wa kipekee..." Mikel anasema huku akifurahi. Umbo hilo amerithi kutoka kwa mamake.
Hakuzaliwa na hips kubwa iIlikuwa kila anavyozaa mtoto nyonga zinaongezeka.

back to top