....

....

UPEKEE WA MTU ANAYETUMIA MKONO WA KUSHOTO

No Comments
Imethibitika kwamba asilimia 10 ya watu duniani huwa wanatumia mkono wa kushoto. Na ukiangalia dunia asilimia kubwa ya vitu ni kwa ajili ya watumiao mkono wa kulia. Hizi ni sifa za watu ambao wameumbwa ili watumie mkono kushoto

1. Wanauwezekano wa kuwa na uwezo mkubwa kufikiri (I.Q)
Ila kuhusu wafanya utafiuki hawana uhakika kwa nini

2. Wanauwezo kuingiza pesa
3.  Wanauwezekano mkubwa wa kupata mzio (Allegy).
4. Mara nyingi huwa wanaandamwa na kipanda uso - Imethibitika kisayansi
5. Wanamatatizo ya kukosa usingizi -Imethibitika kisayansi.
6. Wanakuwa walevi mara tatu ya mtu anayetumia mkono wa kulia - Imethibitika kisayansi
7. Wanapona haraka magonjwa ya moyo - Haijajulikana kwa nini
8. Maraisi saba wa mwisho nchini marekani, wanne ni wanatumia mkono wa kushoto

back to top