Kama ulifikiri kwamba kufanya mapenzi kunakufanya ujisikie vizuri tuu basi hizi nia faida za kufanya mapenzi. Kufanya mapezni ni kuzuri kwa watu wazima.
dehydroepiandrosterone
"
Kunaongeza mfumo wa kinga dhidi ya maradhi
Mtu pindi akifikishwa kileleni, homoni inayoitwa dehydroepiandrosterone huachiwa. homoni hii kuongeza kinga ya mwili, niarekebisha tishu na hufanya ngozi kuwa na afya.
Watu wanaofanya mapenzi huwa wana siku chache sana za kuumwa" anasema Yvonne K. Fulbright, ana shahada ya uzamivu (PhD) ya maswala ya kufanya mapenzi.
Watu ambao hufanya mapenzi miili yao inakuwa na uwezo mkubwa wa kupambana viini vya maradhi,virusi na vinginevyo vinavyoshambulia mwili.
Wafanya utafiti katika chuo cha Wilkes University huko Pennsylvania walugundua kuwa wanafunzi wengi chuo hapo ambao hufanya mapenzi mara moja au mbili kwa wiki wamekuwa na kinga kubwa ya mwili kulinganisha na wengine.
Huongeza Ashiki (Nyege)
"Kufanya mapenzi vizuri pia huongeza ashiki ya kufanya mapenzi" pia anasema Lauren Streicher ni daktari wa madawa pia ni msaidizi wa profesa anayejihusisha na ukunga/ kuzalisha (obstetrics) na jinakolojia: elimuuzazi "gynecology" katika chuo cha Northwestern University’s Feinberg School of Medicine huko Chicago.
Inapunguza Shiniko la Damu
Uchunguzi umethibitisha kuwa kufanya mapenzi kuna punguza shinikizo la damu (Blood Pressure) anasema Joseph J. Pinzone huyu ni daktari wa madawa.
"Kuna utafiti mwingi " anasema "Kujaamiiana (Ila sio kujichua) huwa kunapunguza shinikizo la damu".
Hupunguza Maumivu
Kablwa hujatafuta dawa ya kutuliza maumivu jaribu kufika kileleni. "Kufika kileleni huzuia maumivu " anasema Barry R. Komisaruk shahada ya uzamivu huko State University of New Jersey.
"Tumegundua kwamba kuchechemua uuke (Vaginal Stimulation) inaweza kuzuia maumivu sugu na maumivu ya miguu na wanawake wengi watuambia kwamba kuvisisimua viungo vya uzazi hupunguza kukakamaa kwa misuli wakati wa hedhi (menstrual cramps), ugonjwa wa baridi yabisi na wakati mwingine hata maumivu ya kichwa" anasema Komisaru.
Huleta Usingizi Mzuri
Mtu husinzia haraka baada ya kufanya mapenzi. "Baada ya kufika kileleni homoni ya prolactin huachiwa amabayo ndiyo inayojihusisha na kujisikia usingizi na burudani " anasema heenie Ambardar, MD, mataalamu wa magonjwa ya akili (psychiarist) huko West Hollywood, Calif.
Hupunguza mfadhaiko utokanao na shida/taabu, dhiki, matatizo, msongo (wa mambo)
Pia Ambardar anasema kugusa na kukumbati humfanya mtu ajisikie vizuri. Ashiki ya mapenzi huufanya ubongo uachie kemikali
Marejeo / Refference
http://timesofindia.indiatimes.com
http://www.webmd.com