....

....

MAWE YANAYOTEMBEA

1 comment
Kwa miaka sasa wanasayansi wameahwa njia panda kutokana na mawe yanayotembea huko bonde la kifo (Death Valley.) , Calfornia. Mawe haya makubwa mazito(hufikia hadi kilo 318 ) hutanga tanga juu ya ziwa lililokauka linaloitwa Racetrack Playa. Mawe hayo yakitembea huacha michirizi (Tazama picha).

Hapo mwanzo ilisemekana kuwa mawe hayo husukumwa na viumbe wa angani (aliens) na usumaku wa dunia lakini haijajulikana chanzo cha mawe hayo kutembea. Lakini hakuna aliyeshuudia jiwe kutemebea. Michirizi hiyo ya mawe ktembea ilianza kuonekana mwanzoni mwa miaka ya 1900.
Mawe hayo husogea kila baada ya miaka miwiili au mitatu. Wakati mwingine mawe hayo hukata kona.
Mawe hayo hutofautiana umbali na uelekeo pia hata baadhi ya mawe huenda sambamba kwa mda kisha mojawapo ghafla hubadilisha uelekeo kueleka kushoto au kulia na wakati mwingine hurudi nyuma.



1 comments:

Harrah's Cherokee Casino Hotel, NC - MapyRO
Harrah's 군포 출장마사지 Cherokee Casino Hotel is located 익산 출장샵 in North Carolina. This hotel is 속초 출장샵 located in the heart of the 포천 출장마사지 Great Smoky Mountains of Western North 구리 출장안마

back to top