Inawezekana usije ukaamini kuhusu haya lakini ukweli uliothibiishwa upo.
Utafikiti unaonyesha kwamba ukubwa na nchi ya Urusi ni kilomita za mraba zipatazo 17,098,242 huku Sayari ya Pluto ikiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 16,650,000
2. Nyota zipo nyingi sana angani zaidi ya michanga ya fukwe zote hapa duniani
3. Katika Sayari ya Jupita na Zohari hunyesha mvua ta dhahabu
Wanasayansi wamegundua kwamba kukiwa mchanganyiko wa methani , kaboni na mwanga katika anga ya sayari ya Zohari basi dhahabu hutokea. wafanya utafiti wanasema kwamba kila mwaka zipatazo tani 1000 za dhahabu hujitengeneza huko sayari ya Zohari.
Huyu ni mwanamahesabu, mhandisi, mchoraji mwana-anatomia (Sayansi
inayohusu mwili na viungo vyake jinsi vilivyo),mtaalamu wa
jiolojia,msanifu majengo(Architecture) mwanamuziki, mchongaji, mtu wa
fasihi (literature) na mchoraji.
5. Pweza ana viungo vitatu vya moyo : Mioyo miwili hupeleka damu katika sehemu zake za kupumulia grills. Na moyo mwingine ndo hupeleka damu sehemu zingine za mwili
6. Zipo maiti zaidi ya 200 juu ya mlima everest
Zaidi ya miili 200 ipo katika mlima everest. Maiti hazitolewi, zinaachwa kwa ajili ya kuonyesha njia za vituo kwa wapandaji mlima huo.
7. Nyoka mwenye vichwa viwili huwa vichwa hivyo hupigana kugombea chakula
8. Armadilo ni mnyama pekee ambaye kila akizaa huzaa watoto watatu