1. Wanauwezekano wa kuwa na uwezo mkubwa kufikiri (I.Q)
Ila kuhusu wafanya utafiuki hawana uhakika kwa nini
2. Wanauwezo kuingiza pesa
3. Wanauwezekano mkubwa wa kupata mzio (Allegy).
4. Mara nyingi huwa wanaandamwa na kipanda uso - Imethibitika kisayansi5. Wanamatatizo ya kukosa usingizi -Imethibitika kisayansi.
6. Wanakuwa walevi mara tatu ya mtu anayetumia mkono wa kulia - Imethibitika kisayansi
7. Wanapona haraka magonjwa ya moyo - Haijajulikana kwa nini
8. Maraisi saba wa mwisho nchini marekani, wanne ni wanatumia mkono wa kushoto
